Habari za Punde

Uzinduzi wa U-Report wa Huduma ya Bure Kwa Vijana Kwa Njia wa SMS.Kupata Taarifa na Kuchangia Mijadala Kuhusu Vijana wa Tanzania na Maisha Yao.Tuma Neno Sajili Kwenda 15070.


Naibu Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Lulu Msham Abdalla akizindua huduma ya Bure ya U-Report kwa Vijana kupitia SMS. kupata taarifa na kuchangia mijadala kuhusu Vijana wa Tanzania na maisha yao, kupitia neno 'SAJILI ' kwenda namba 15070.
Kuwa chachu ya mabadiliko, Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya Mnara ya Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar.
NAIBU Waziri Wizara ya Vijana Sanaa Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Lulu Msham Abdallah akimsikiliza Kijana Maryam Mmbaga kutoka Kitengo cha Vijana na Mawasiliano na Ubunifu cha UN, wakati wa Uzinduzi wa U-Report huduma ya bure kwa Vijana kwa njia ya SMS.Kupata taarifa na kuchangia mijadala kuhusu vijana wa Tanzania na maisha yao,kwa kutuma neno SAJILI kwenda namba 15070.uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya Mnara wa kumbukumbu ya mapinduzi michezani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.