Mkurugenzi Idara ya Elimu Maandalizi na Msingi Safia Ali Rijali akimkabidhi dawa za meno aina ya Colget Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Maandalizi ya kiislamu Mfenesini Rehema Suleiman Kasanga katika ghafla iliyofanyika Skulini hapo.
Afisa Elimu Msingi Asya Hassan Mussa akigawa dawa za meno aina ya Colget kwa wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi ya kiislamu Mfenesini kwa lengo la kuimarisha usafi wa kinywa.
Wanafunzi wa Maandalizi Skuli ya kiislamu Mfenesini wakifurahiya kupatiwa dawa za meno kwa lengo la la kuimarisha usafi wa kinywa.
Picha na Abdalla Omar Habari – Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment