Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (aliyevaa tai), akiongozana na Viongozi wa Jeshi la Polisi kukagua majengo ya polisi katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima ,akiangalia moja ya mabweni katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho, Naibu Kamishna Anthony Rutashugulubukwa, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Jeshi la Polisi ,Naibu Kamishna Anthony Rutashugulubukwa, akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima(katikati), baada ya kukagua majengo ya chuo , jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima akizungumza katika Kikao na Maafisa wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani) ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.Kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Lojistiki, Naibu Kamishna Leonard Paul
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Lojistiki Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna Leonard Paul akizungumza katika Kikao na Maafisa wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani) ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya Chuo cha Taaluma ya Polisi wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.Kikao kimefanyika jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment