Habari za Punde

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Yatoa Elimu kwa Wamiliki wa Vyombo Vya Habari Zanzibar Kuhusiana na Mabadiliko ya Teknolojia

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Khadija Bakari Juma akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano kuhusiana na Mabadiliko ya Teknolojia Ulioandaliwa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)wakishirikiana na Tume ya Utangazaji Zanzibar.katika ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni mjini Unguja.
Mhandisi Mkuu wa Utoaji Leseni za Mawasiliano TCRA Andrew Kisaka(aliesimama)akitoa maelezo kuhusu Mabadiliko ya Teknolojia katika mkutano uliowashirikisha Wamiliki wa Vyombo vya Habari uliofanyika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni mjini Unguja.
Baadhi ya Wamiliki wa Vyombo vya Habari waliohudhuria katika Mkutano kuhusiana na Mabadiliko ya Teknolojia Ulioandaliwa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)wakishirikiana na Tume ya Utangazaji Zanzibar.katika ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.