Habari za Punde

MAJALIWA AFUNGUA AWAMU YA PILI YA UPANUZI WA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI DAR

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Binti Mfalme Zahra  Aga Khan  wakati alipowasili Kwenye hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam kufungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali hiyo, Machi 9, 2019. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Binti Mfalme, Zahra Aga Khan  (wapili kushoto) wakifurahia baada ya kufungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Machi 9, 2019. Kushoto ni Waziri wa Afya, Maendeleo yaJamii, Jinsia,  Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa,  (Agence Francaise de Developpment), Christian Yoka
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Machi 9, 2019 amefungua awamu ya pili ya upanuzi hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam. Pichani ni jengo lililozinduiliwa.
Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akikagua chumba cha kisasa cha upasuaji wakati alipofungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimpokea mtoto  Claribel Mwakatumbula (1) kutoka kwa mama ya Delfina Audax wakati alipotembelea wodi ya watoto katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam kabla ya kufungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali hiyo, Machi 9, 2019. Mtoto Claribel amelazwa hospitalini hapo kwa matibabu.  
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amembeba mtoto, Claribel Mwakatumbula (1) wakati   alipotembelea wodi ya watoto kabla ya kufungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Machi 9, 2019. Mtoto Claribel amelazwa hospitalini hapo kwa matibabu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji mtoto Ilham Ally wakati alipotembelea wodi ya watoto kabla ya kufungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Machi 9, 2019. Mtoto Ilham amelazwa hospitalini hapo kwa matibabu 
Wazari Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Jackline Vicent aliyejifungua mtoto Lois Ladislaus  katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Machi 9, 2019. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea wodi ya wazazi kabla ya kufungua awamu ya pili ya upanuzi wa haospitali hiyo 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam 
 Baadhi ya waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua  awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam 
 Baadhi ya waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kufungua  awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita katika maeneo ya hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salam baada ya kufungua awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali hiyo jijini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi walioshiriki katika sherehe za ufunguzi wa awamu ya pili ya upanuzi wa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam, Machi 9, 2019. Kulia kwake ni Binti Mfalme, Zahra Aga Khan na kushoto kwake ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia Mjema. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.