Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Akiwa Kijijini Nandagala Wilayani Ruangwa.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Nandagala Wilayani Ruangwa, akikagua Kisima cha Maji Safi na Salama.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwashukuru Halima Athumani (kulia) na Zuena Bakari (katikati) kwa zawadi ya mahindi, katika kijiji cha Nandagala Wilayani Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia watoto, katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na vijana waendesha bodaboda kijijini Nandagala wilayani Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na vijana kijijini kwake Nandagala wilayani Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Bi. Fatma  Omar kijijini kwake Nandagala Machi 15.2019, aliye soma nae darasa moja shule ya msingi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na dada yake, Fatma Majaliwa kijijini kwake Nandagala kushoto ni mtoto wa dada yake Hidaya Rashid
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi bakora mwanakijijini wa Nandagala Mzee Khamis Kandege Machi 15.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.