Habari za Punde

BOT Yatoa Elimu ya Utunzaji wa Kuithamini Fedha ya Taifa Kwa Wananchi Kisiwani Pemba.

MENEJA Msaidi Idara ya Mawasiliano kwa Umma Kutoka Benk Kuu ya Tanzania  (BOT) Victoria Msima, akizungumza na watendaji mbali mbali wa serikali wakiwemo Masheha, Madiwani, Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya umuhimu wa kuitunza na kuithamini fedha ya Taifa

AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibarahim Saleh Juma, akifungua mafunzo ya siku moja kwa watendani wa serikali wakiwemo Masheha, Madiwani na kamanda wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kaskazini Pemba, juu ya umuhimu wa kuitunza na kuilinda fedha ya taifa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
FISA kutoka BOT Tanzania Restituta Magnus, akigawa baadhi ya vipeperushi vinavyoonesha utambuzi wa alama za usalama na utunzaji bora wa noti na sarafu, kwa baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo ya siku moja yaliotolewa na BOT kwa watendaji wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.