Habari za Punde

Ujenzi wa Nyumba ya Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ukiendelea na Ujenzi Wake Kisiwani Pemba

Muonekano wa Jengo la Makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi 
linalojenga katika eneo la Pagali Kisiwani Pemba, likiendelea na ujenzi wake katika hatua za umaliziaji wake.
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mihayo Juma N'hunga akitoa maelekezo kwa watendaji wa Ofisi yake Pemba na wajenzi wajengo la Nyumba ya makaazi ya Makamu wa Pili iliyopo Pagali Chake Chake, iweze kumalizika kwa wakati baada ya kusimama kwa muda baada ya kumalizika kazi ya uwekaji wa Zege.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.