Habari za Punde

Mradi wa Ufungaji wa Taa za Kisiwani Pemba

MAFUNDI kutoka kampuni ya ujenzi   TESEMA  Dar es Salaam , wakifunga taa za kuongozea magari katika mji wa wete, ikiwa na lengo la kupunguza ajali za barabarani katika eneo hilo na msongamano wa magari, kama walivyokutwa na mpiga picha wa Zanzibarleo.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.