Meneja wa mauzo wa Kampuni ya Zainab Bottlers (LTD) Mwanaomary Kipande akiwapa maelezo waandishi wa Habari kuhusu uzinduzi wa Kampuni ya Zainab Bottlers kunywa na Ushinde katika Hotel ya Golden Tuliop iliyopo Malindi Mjini Zanzibar.
Meneja wa Masoko Caroline Musau wa Kampuni ya Zainab Bottlers (LTD) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari kuhusu uzinduzi wa Kampuni ya Zainab Bottlers kunywa na Ushinde maji ya Zan Aqua mara walipowasili katika Hotel ya Golden Tuliop iliyopo Malindi Mjini Zanzibar.
Zawadi zilizoandaliwa na kutolewa kwa washindi watakaoshiriki katika Kunywa na Ushinde maji ya Zan Aqua iliyofanyika Golden Tuliop Hotel iliyopo Malindi Mjini Zanzibar.
Picha na Miza Othman –Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment