Habari za Punde

Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Watumiaji wa Maudhui ya Utangazaji

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akionesha Vitabu vya Ripoti ya Utafiti wa Watumiaji wa maudhui ya Utangazaji baada ya kuzinduliwa katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Kikwajuni Zanzibar.Wamwanzo kulia  Katibu Mtendaji Tume ya Utangazaji Omar Said Ameir. na katikati ni   Mjumbe wa Bodi wa Tume ya Utangazaji Ali Khatib Chwaya.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Utangazaji Omar Said Ameir akizungumza machache katika hafla ya Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Watumiaji wa maudhui ya Utangazaji iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi pamoja na Wamiliki wa Vyombo vya Habari waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Watumiaji wa maudhui ya Utangazaji iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akifafanua jambo alipotoa hotuba ya Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Watumiaji wa maudhui ya Utangazaji iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akikata Utepe wa kifurushi kuashiria  Uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti wa Watumiaji wa maudhui ya Utangazaji iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Kikwajuni Zanzibar.Wamwanzo kulia ni Mjumbe wa Bodi wa Tume ya Utangazaji Ali Khatib Chwaya na katikati ni Katibu Mtendaji Tume ya Utangazaji Omar Said Ameir.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akionesha Vitabu vya Ripoti ya Utafiti wa Watumiaji wa maudhui ya Utangazaji baada ya kuzinduliwa katika ukumbi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Kikwajuni Zanzibar.Wamwanzo kulia  Katibu Mtendaji Tume ya Utangazaji Omar Said Ameir. na katikati ni   Mjumbe wa Bodi wa Tume ya Utangazaji Ali Khatib Chwaya.

Picha na Yussuf Simai - Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.