Habari za Punde

Wajasiriamali Kisiwani Pemba Wakijiandaa na Biashara Kwa Ajili ya Sikukuu ya Eid Fitry.

AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Bi.Fatma Hamad Rajab, katikati akiwa na wafanyakazi wa wizara yake wakipeki ubuyu, kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu ya Eid Fitri inayotarajiwa kusherehekewa mwishoni mwa wiki hii baada ya kuandama kwa mwezi na kumaliza mfingo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo, hufanya michezo mbalimbali katika viwanja vya Sikukuu.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.