Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Wamtembelea na Kumjulia Hali Mama Maria Nyerere

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary (kulia) wakimjulia hali Mama Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es salaam, Juni 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.