Habari za Punde

Mkuu wac Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Ayoub Mohammeds Mahmoud Ashiriki Katika Sherehe za Maadhimishi ya Siku Ya Bima Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akishiriki katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Bima Zanzibar, yaliowasirikisha Mawakala wa Bima Zanzibar yaliaozia katika barabara ya miembeni na kumalizia katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar Mapinduzi Square.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mashirika na Wakala wa Bima Zanzibar wakishiriki katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Bima Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.