Mkurugenzi Masoko wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dkt. Miraji Ukuti Ussi, akimkabidhi jezi Meneja wa Timu ya Machomanne United, kwa ajili ya mashindano ya Bonanza la Tatu la Utalii Kisiwani Pemba, litakaloshirikisha michezo mbali mbali Kisiwani Pemba
Mkurugenzi Masoko Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dkt. Miraji Ukuti Ussi, akizungumza na waandishi wa habari kuelekea bonanza la Tatu la Utalii Kisiwani Pemba, litakaloweza kushirikisha michezo Mbali mbali.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)
No comments:
Post a Comment