Habari za Punde

WAZIRI WA HABARI, UTALII NA MAMBO YA KALE MAHMOUD THABIT KOMBO AZINDUWA KAMATI ZA UTALII ZA WILAYA

Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabiti Kombo (Kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Vuai Mwinyi Mohamed Kitabu cha Muongozo wa Kamati za Utalii za Wilaya katika Uzinduzi wa Kamati hizo kwenye Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabiti Kombo (Kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Kusini Idrisa Kitwana wakifurahia Kitabu cha Muongozo wa Kamati za Utalii za Wilaya  katika Uzinduzi wa Kamati hizo kwenye Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Bi Swabah Saleh akimkaribisha Waziri wa Habari, Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabiti Kombo (hayupo Pichani) katika Uzinduzi wa Kamati za Utalii za Wilaya kwenye Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Baadhi ya Washiriki waliohudhuria Uzinduzi wa Kamati za Utalii za Wilaya kwenye Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Washiriki waliohudhuria Uzinduzi wa Kamati za Utalii za Wilaya kwenye Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Picha na Maryam Kidiko – Maelezo Idara ya Habari Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.