Habari za Punde

Zanzibar kuwa mwenyeji wa maonyesho ya Kahawa ya Afrika Oktoba 30

 NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda, Ali Khamis Juma, akifungua mkutano unaozungumzia masuala ya maonesho ya kahawa ya Afika, yanayotarajiwa kufanyika Zanzibar, kuanzia Octoba 30 mpaka Naovemba 1 Mwaka huu (PICHA NA ABDALLA OMAR).
 MWENYEKITI Bodi ya Kahawa Afrika Ishak K. Lukenge, kutoka Nchi ya Uganda, akizungumza na waandishi wa habari huko hoteli ya Seeclif ya Mangapwani, kuhusiana na maonesho ya kahawa ya Afika, yanayotarajiwa kufanyika Zanzibar, kuanzia Octoba 30 mpaka Naovemba 1 Mwaka huu (PICHA NA ABDALLA OMAR). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.