Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Timu ya Yanga na Mlandege Uliofanyika Juzi Usiku Uwanja Amaan Zanzibar Timu ya Yanga Imeshinda Mchezo Huo Bao 5-1Wa

Wachezaji wa Timu ya Yanga wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Mlandege kabla ya mchezo wao wa Kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Yanga ikiwa Zanzibar kujiandaa na Michezo wake wa Klabu Bingwa unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo. katika mchezo huo Timu ya Yanga imeibuka na ushindi wa bao 5 - 1.
Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga Afrika Mwinyi Zahera akiwa katika Uwanja wa Amaan akifuatilia mchezo huom kuwa kikosi chake wakijiandaa na Michuano ya Kimataifa, akiwa katika benchi.
Kikosi cha Timu ya Yanga Afrika kilichotowa Kipigo kwa Timu ya Mlandege wakijiandaa na Michuano ya Kimataifa katika mchezo huo Timu ya Yanga imetoka kifua mbele kwa bao 5-1.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.