Mchezaji wa Timu ya Malindi akishangilia bao lake la kusawazisha katika mchezo wa Ngao ya Hisani na Timu ya KMKM uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1, na kuamuliwa kupigwa penenti Timu ya KMKM imeshinda kwa peneti 4 -3. mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025
-
Na Mwandishi wetu
Timu ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande wa wanawake
zimetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa k...
2 hours ago
0 Comments