Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Aongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.M ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana  na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipohudhuria katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo
Wenyeviti wa CCM Mikoa ya Zanzibar wakiwa katika Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikaribishwa na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya  Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja cha  Kamati Maalum ya  Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar (kulia)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala,
Baadhi ya  Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya  Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)   akiendesha kikao cha siku moja cha  Kamati Maalum ya  Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 20/09/2019.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.