Habari za Punde

Taasisi ya Milele Foundation yakutana na wadau a mradi wa kuhamasiha wanafunzi wa kike kusoma masomo ya sayansi (STEM)

MKUU wa miradi ya taasisi ya Milele Zanzibar Foundation Khadija Ahmed Sharif,akizungumza katika mkutano wa wadau wa mradi wa kuhamasiha wanafunzi wakike kusoma masomo ya sayansi (STEM) wakiwemo wanafunzi, walimu, NGOs na taasisi za serikali
SHEHA wa shehia ya Mjini Ole Khamis Shaaban Hamad, akichangia mada juu ya umuhimu wa kusajili ardhi na mali nyengine kwa wanawake, wakati wa mkutano ulioandalia na jumuiya ya KUKHAWA na kufanyika Chake Chake.
MWANASHERIA kutoka kituo cha huduma za sheria Pemba Siti Habibu, akiwasilisha mada njia za kusajili ardhi na changamaoto zake, kwa washiriki wa mafunzo ya mradi wa ushawishi na utetezi wa kukuza upatikanaji wa ardhi na Mali nyengine kwa wanawake wa Wilaya ya Chake Chake.
(Picha na Abdi Suleiman-Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.