Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.
Harrison Mwakyembe akifafanua jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu
Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF)
lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere
Jijini Dar es Salaam, Wengine ni Mtangazaji kutoka Clouds Media Group (Clouds
Plus), Gift Swai (kushoto) na Isaya Kandonga (Kulia).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt.
Harrison Mwakyembe akifafanua jambo kwa
Mtangazaji wa Clouds Media Group(Clouds
Plus), Isaya Kandonga kuhusu Jukwaa la
utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF)
lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini
Dar es Salaam
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Dkt. Kiagho
Kilonzo Akifafanua Jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu
Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF)
lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere
Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Dkt. Harrison Mwakyembe
Msanii wa Mashairi ya Kughani, Mrisho Mpoto akieleza
jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui
mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment