Habari za Punde

ZRB YATO ELIMU KWA WAFANYA BIASHARA KISIWANI PEMBA

Afisa Elimu Bodi ya Mapato Zanzibar  (ZRB) Raya Suleiman Abdalla akitoa elimu kwa wafanyabiashara mbalimbali waliyofika katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Gombani Kisiwani Pemba
Mmoja kati ya Mfanya biashara Yahaya Seifu akiuliza swali kwa Afisa Elimu Bodi ya Mapato Zanzinar  Raya Suleiman baada ya kupatiwa elimu mkutano huo uliyofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Gombani Kisiwani Pemba.
Picha na Miza Othman -Maelezo Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.