Habari za Punde

Washindi wa SMARTA ya Zantel wakabidhiwa simu zao


Afisa Masoko wa Zantel, Haji Mussa , (kulia) akimkabidhi simu janja ya gharama nafuu aina ya SMARTA, Fainat Jaffar, mkazi wa Mbweni Zanzibar, mmoja wa washindi 4 wa  SMARTA  katika hafla iliyofanyika katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo Vuga mjini Zanzibar, mwishoni mwa wiki. Washindi wa promosheni hii wanapatikana kwa kujibu maswali kupitia vituo vya redio na mitandao ya kijamii.
Afisa Masoko wa Zantel, Haji Mussa, (kulia) akimkabidhi simu janja ya gharama nafuu aina ya SMARTA, Fauz Daud, mkazi wa Darajan Zanzibar, mmoja wa washindi 4 wa  SMARTA  wa wiki ya kwanza
Afisa Masoko wa Zantel, Haji Mussa, (kulia) akimkabidhi simu janja ya gharama nafuu aina ya SMARTA, Samwel Charles, mmoja wa washindi 4 wa  SMARTA  katika hafla iliyofanyika katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo Vuga mjini Zanzibar.
Washindi wa SMARTA wa wiki ya kwanza katika picha ya pamoja na Afisa Masoko wa Zantel, Haji Mussa (katikati) baada ya kukabidhiwa zawadi 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.