Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AMESALI IBADA YA MISA TAKATIFU DOMINIKA YA NNE YA MAJILIO KATIKA KANISA LA BIKIRA MARIA PAROKIA YA CHATO MKOANI GEITA NA KUTOA SALAMU ZA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2020. DISEMBA 22, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amejumuika pamoja na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote.  Disemba 22, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kupokea Sakramenti Takatifu, alipoungana na waumini wengine wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita katika Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini  wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita wakati wa  Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Padre Henry Mulinganisa Paroko wa kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita alipozungumza na Waumini wa Kanisa wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko huyo, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia mtoto Zioni nje ya kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita mara baada ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Waumini nje ya kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita mara baada ya kushiriki Misa Takatifu ya Dominika ya nne ya Majilio iliyoongozwa na Paroko wa kanisa hilo Padre Henry Mulinganisa, ambapo Mhe. Rais amewatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya  Watanzania wote. Disemba 22, 2019.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.