RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili katika viwanja vya Polisi Ziwani
Zanzibar kuhudhuria hafla ya chakula Maalum alichowaandalia Askari wa Vikosi
vya Ulinzi na Usalama walivyoshiriki Gwaride la Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar, lililofanyika 12, January 2020 katika viwanja vya Amaan,(kulia kwa
Makamu ) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe.Zuberi Ali Maulid, Jaji
Mkuu wa Zanzibar.Mhe. Omar Othman Makungu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe Issa Haji Gavu
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekjiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na
Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhi Omar Nondo,
alipowasili katika viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar kuhudhuria hafla ya
chakula maalum alichowaandalia Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMT
na SMZ, walioshiriki katika Gwaride Maalum la maadhimisho ya Miaka 56 ya
Mapinduzi Zanzibar lililofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 12, January 2020,
hafla hiyo imefanyika viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amersimama na viongozi wa meza wakati ukipingwa wimbo wa
Taifa alipowasili katika viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar, (kulia kwa Rais)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu
Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na
(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil
Omar Nondo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri
MAOFISA wa Vikosi
vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, (hayupo pichani) katika hafla maalum ya chakula iliofanyika katika
viwanja vya Polisi ziwani Zanzibar
MAKAMANDA wa Vikosi
vya Ulinzi na Usalama vya SMZ na SMT walioshiriki katika gwaride Maalum la
Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa wamesimama wakati
ukipigwa wimbo wa Taifa, katika hafla ya chakula Maalum walioandaliwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
(hayupo pichani) katika viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar
Mkuu wa Brigedi ya
Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo, akizungumza wakati wa hafla
Maalum ya chakula kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo picha) kwa Askari walioshiriki
Gwaride Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar lililofanyika
Uwanja wa Amaan Zanzibar 12,January 2020.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na
Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya SMT na SMZ vilivyoshirika Gwaride
Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar lililofanyika katika
viwanja vya Amaan Zanzibar, 12,January 2020,
katika chakula Maalum alichowaandalia
katika viwanja vya Polisi ziwani
Zanzibar (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif
Ali Iddi.
ASKARI wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama vya SMT na SMZ , wakijumuika katika chakula maalum
walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya ziwani Polisi Zanzibar
ASKARI wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama vya SMT na SMZ , wakijumuika katika chakula maalum
walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya ziwani Polisi Zanzibar
ASKARI wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama vya SMT na SMZ , wakijumuika katika chakula maalum
walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya ziwani Polisi Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu, akizungumza
kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akitowa neno la shukrani kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na
Usalama walioshiriki katika Gwaride Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56 ya
Mapinduzi ya Zanzibar, lililofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar 12,January
2020. Hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ziwani Polisi Zanzibar
Askari wa Kikosi cha FFU
Issa Khamis Juma akisoma dua baada ya
kumalizika kwa hafla ya chakula Maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kwa Askari walioshiriki Gwaride Maalum la
Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.lililofanyika katika viwanja
vya Amaan Zanzibar
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiitikia dua
ikisoma na Askari wa Kikosi cha FFU. Ndg.Issa Khamis Juma,(hayupo pichani)
(kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na
Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid
Yahya Mzee na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar.Brigedia
Jenerali Fadhil Omar Nondo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mkuu
wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Brigedia Jenerali Fadhil Omar Nondo, baada ya
kumalizika kwa hafla ya chakula maalum alichowaandalia Askari Vikosi vya Ulinzi
na Usalama walioshiriki Maadhimisho ya
Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Amaan 12,January 2020, hafla hiyo imefanyika katika
viwanja vya Polisi Ziwani Zanzibar
No comments:
Post a Comment