Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi George Simbachawene akizungumza jambo na Waziri wa Nchi , Ofisi
ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mussa Azzan Zungu kabla ya kuapishwa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mussa
Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi , Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na
Mazingira katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Maimuna
Tarishi kuwa Balozi wa kudumu wa
Tanzania umoja wa Mataifa Geneva
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa
Kennedy Gastorn kuwa Balozi wa kudumu wa Tanzania, Umoja wa Mataifa New York
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Hussein
Kattanga kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan
Viongozi
waliopishwa wakila kiapo cha Uadilifu kwa vioungozi wa Umma Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment