Habari za Punde

Wana shehia ya Mkoroshoni waanza kufuatilia vitambulisho vyao

BAADHI ya wananchi wa Shehia ya Mkoroshoni Wilaya ya Chake Chake, wakiangalia majina yao katika sehemu maalumu kwa ajili ya kwenda kuchukuwa kitambulisho cha Mazanzibari Mkaazi, kama walivyokutwa na mpiga picha katika skuli ya maandalizi Machomanne.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.