Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mshauri Elekekezi wa Mradi wa Ujenzi wa Jengo jipya la Mahakama Kuu Zanzibar Tungu Mkurugenzi wa Kampuni ya Hab Consult Ltd. Ndg.Habib S.Nuru akitowa maelezo ya michoro ya ramani ya jengo hilo wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo hafla iliofanyika katika viwanja vya ujenzi huo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
IBKI ENTERPRISES YAZINDUA DUKA LA KISASA LA BIDHAA ZA HAIER UBUNGO
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
KAMPUNI ya Usambazaji na Uuzaji wa Bidhaa za Haier, IBKI Enterprises Ltd,
imezindua duka la kisasa la uuzaji wa bidhaa za k...
2 hours ago
0 Comments