Habari za Punde

Wananchi wa Jimbo la Jangombe Wakiwa katika Zoezi la Kuchukua Vitambulisho Vya Mzanzibar Mkaazi Katika Kituo cha Skuli ya Jangombe Sekondari.

Wananchi wa Jimbo la Jangombe wakiangalia majina yao katika Kituo Skuli ya Jangombe Sekondari kwac ajili ya kuchukua Vitambulisho vyao vya Mzanzibar Mkaazi.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.