Habari za Punde

Wananchi Wametakiwa Kuchukua Tahadhari ya Maambukizo ya Maradhi ya Corona Kwa Kuosha Mikono Kila Mara Kujikinga na Mambukizo

Wananchi watakiwa kuwa na tahadhari ya maambukizo ya Maradhi ya Corona kwa kuosha mikono kwa kutuymia Sabuni na Sanitaiza ili kuepuka na maambukizo ya Corona.  Kama inavyooneka msikiti wa muembeshauri Masjid Mushawar wakiwa wameweka madoo ya maji yenye dawa kwa ajili ya kuosha mikono yao Waumini wanapofika msikitini hapo kwa ibada.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.