Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Akagua Ujenzi wa Shule ya Bweni ya Lucas Malia ilayani Ruangwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya bweni ya Lucas Malia, baada ya kukagua madarasa na bwalo la chakula, katika shule hiyo, iliyopo wilayani Ruangwa, Lindi, Machi 16, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua bwalo la chakula na madarasa, katika shule ya sekondari ya bweni ya Lucas Malia, iliyopo wilayani Ruangwa, katika Mkoa wa Lindi, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua bwalo la chakula na madarasa, katika shule ya sekondari ya bweni ya Lucas Malia, iliyopo wilayani Ruangwa, katika Mkoa wa Lindi, Machi 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.