Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli Amlilia Mtangazaji wa TBC Marin Hassan Marin Aliyefariki Dunia leo Asubuhi.

Wakati wa uhai wake Marehemu Marin Hassan Marin wakati wa uzinduzi wa Kipindi cha TBC, akijiandaa kukata keki wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa TBC Mikocheni Jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.