Habari za Punde

JESHI LA POLISI KUANZA KUTUMIA JENGO LA MAKAO MAKUU WALILOPEWA NA MHE. RAIS

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, leo 12/06/2020 ametembelea na kukagua maendeleo  na marekebisho ya jengo la Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dodoma, ambalo lilikabidhiwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli. Picha na Jeshi la Polisi Nchini.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.