Habari za Punde

Maafisa upelelezi wa dawa za kulevya wakutana kisiwani Pemba kupanga mikakati


BAADHI ya Maafisa wa upelelezi wa dawa za kulevya kutoka vyombo vya ulinzi na usalama Pemba, wakiwemo wasaidizi wakurugenzi wa mabaraza ya miji na Halmashauri, wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kuratib na udhibiti wa dawa za Kulevya Zanzibar Kheriyangu Mgeni Khamis, akifungua kikao cha siku moja na watendaji hao, katika ukumbi wa Ofisi ya DPP Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
LT Mlingi  Bwire kutoka kikosi cha KM KM Pemba, akisoma sheria ya KM KM ya mwaka 2003 iliyofanyiwa marekebisho 2018 kifungu cha 4 ambacho kimewapa dhamana ya kufanya ukaguzi sehemu yoyote, ikiwa ni mikakati ya kukamata waingizaji wa madawa ya Kulevya nchini .(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
MKURUGENZI Mtendaji wa Tume ya Kuratib na udhibiti wa dawa za kulevya Zanzibar Kheririyangu Mgeni Khamis, akifungua kikao cha siku moja kilichowakutanisha  Maafisa wa upelelezi wa dawa za kulevya kutoka vyombo vya ulinzi na usalama Pemba, wakiwemo wasaidizi wakurugenzi wa mabaraza ya miji na Halmashauri, juu ya kuongeza mikakati ya kupambana na waingizaji, wauzaji na wadambazaji wa dawa za kulevya Pemba .(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
MKURUGENZI Mtendaji wa Tume ya Kuratibu na udhibiti wa dawa za kulevya Zanzibar Kheririyangu Mgeni Khamis, akifungua kikao cha siku moja kilichowakutanisha  Maafisa wa upelele wa dawa za kulevya kutoka vyombo vya ulinzi na usalama Pemba, wakiwemo wasaidizi wakurugenzi wa mabaraza ya miji na Halmashauri, juu ya kuongeza mikakati ya kupapana na waingizaji, wauzaji na wadambazaji wa dawa za kulevya Pemba .(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
KAIMU OCD kituo cha Polisi Wete Fakih Yussuf Mohamed, akiwasilisha taarifa ya mwenendo wa Dawa za kulevya kwa Wilaya hiyo, changamoto na mikakati yao, katika kikao cha Pamoja cha maafisa upelelezi  wa dawa za kulevya kutoka vyombo vya ulinzi na usalama Pemba,wakiongozwa na  Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kuratib na udhibiti wa dawa za Kulevya Zanzibar Kheriyangu Mgeni Khamis .(PICHA NA ABDI SULEIMAN)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.