Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ajitoka Urais wa Zanzibar Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud Akiwa Kada wa 23 wa CCM Kuchukua Fomu ya Urais Zanzibar.

Kada wa Chama cha Mapinduzi Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akijitokea kuchukua Fomu ya Urais wa Zanzibar, akionesha Mkoba ukiwa na Fomu za Urais baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galosi Nyimbo, hafla hiyo ya utoaji wa Fomu za Urais imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.   
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg.Galos Nyimbo akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea wa Urais Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakati wa zoezi la uchukuaji wa Fomu ya Urais kupitia CCM.
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg, Galos Nyimbo akimkabidhi risiti Mgombea Urais Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakati wa zoezi uchukuaji wa Fomu za Urais.hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.