Habari za Punde

Naibu Spika BLW Mhe Mgeni Hassan Juma ajitosa kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM akiwa ni mgombea wa 31

 NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi, Ndg. Mgeni Hassan Juma Jumbe Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi na kuifanya  idadi ya  wagombea 31 ambao waliochukua fomu za kuwania kugombea Urais wa ZanzibarNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.