Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA BALOZI JOB LUSINDE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Mjane wa marehemu Mzee Job Lusinde Bibi Sarah J. Lusinde alipofika nyumbani kwa marehemu Uzunguni Jijini Dodoma leo Julai 09,2020 kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu mzee Job Lusinde.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na wanafamilia wa Marehemu Balozi  Job Lusinde nyumbani kwa marehemu Uzunguni  Jijini Dodoma leo Julai 09,2020 alipofika kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu mzee Job Lusinde. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hasan akisaini kitambu cha maombolezi  cha kumbukumbu ya maombolezi ya Kifo cha Marehemu Balozi Job Lusinde  alipofika nyumbani kwa marehemu Uzunguni Jijini Dodoma leo.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.