Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Arejea Jijini Dodoma baada ya Kumaliza Ziara Yake Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa wilaya ya Ruangwa kabla ya kuondoka nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema kurejea Dodoma, Julai 21, 2020. Wa pili kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.