Habari za Punde

BASHUNGWA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KARAGWE

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akipokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)  kutoka kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 21, 2020

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akisikiliza maelekezo ya uchaguzi baada ya kupokea fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Karagwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)  kutoka kwa Godwin M. Kitonka ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Karagwe, Agosti 21, 2020

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.