Habari za Punde

MISS KOROSHO AKABIDHIWA KOMBE LA USHINDI NANENANE DODOMA


Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi akimkabidhi Miss Korosho 2020, Martha Petro kombe la ushindi wa  mashindano ya urembo yaliyofanyika hivi karibuni wakati wa Maonesho ya Wakulima Nanenane Kanda ya Kati, kwenye viwanja vya Nanenane, Nzuguni jijini Dodoma. Tuzo hiyo amekabidhiwa wakati wa kilele cha maonesho hayo. PICHA NA RICHARD MWAIKENDAMkuu wa Mkoa wa Singida D. Rehema Nchimbi akimpongeza Lenada Jackson ambaye alikuwa msindi wa Nidhamu wa mMashindano yayo ya Miss Korosho.
Dk Nchimbi akiwa na washindi hao wa Miss Korosho

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.