Habari za Punde

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM wakati wakiimba Wimbo wa Chama kabla ya kuongoza Kikao hicho cha Kamati Kuu jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma leo

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kutoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020. 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.