Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA DUMILA DARAJANI MKOANI MOROGORO WAKATI AKIELEKEA MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akila Mhindi wa Kuchoma katika eneo la Dumila Darajani wakati aliposimama kuzungumza na wafanyabiashara hao wadogowadogo akiwa njiani kuelekea Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyabiashara wa Dumila Darajani mara baada ya kuzungumza nao ambapo amewaahidikuwajengeavibandavizuri vya kufanyiabiashara zao katika eneo hilo. 
Wafanyabiashara wa Dumila Darajani wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo hilo wakati akiwa njiani kuelekea Dodoma.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.