WANANCHI mbali bali wakiwaangalia watoto wao baada
ya kupanda pembea ya Farasi, katika kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi,
wakati waskukuu ya kwanza ya Eid el Hajj.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WATOTO wakisheherekea skukuu ya Eid el Hajj Kisiwani
Pemba, kwa kupanda katika Pembea ya Farasi na ndugu zao, huko katika kiwanja
cha kufurahishia watoto Tibirinzi.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WATOTO wakisheherekea skukuu yao kwa kupanda pembea
la Vibeseni, huko katika kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirini.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MOJA ya Mapembea ambayo yamo ndani ya kiwanja cha
kufurahishia watoto Tibirinzi ni wanda, pembea ambalo limekuwa na wapandaji
kidogo kutokana na watoto wengi kuliogopa.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WATOTO wakisheherekea skukuu yao kwa kuendesha
vigari, moja ya vitu vilivyomo ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto
Tibirinzi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
KUHARIBIKA kwa pembea ya Ndege imepelekea wananchi
wananchi wengi, kuzongea Pembea ya Farasi na Vibeseni kama wanavyoonekana
katika Picha.PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
No comments:
Post a Comment