Habari za Punde

Dkt. Zainabu Chaula Awapa Darasa Watendaji Shirika la Posta Tanzania

Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Hassan Mwang’ombe akizungumza kwa ufupi kuhusu mafunzo ya uongozi na utendaji kazi ya siku tano ya mameneja wa kanda, mikoa na wakuu wa Idara wa Shirika hilo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (katikati) kufungua mafunzo hayo rasmi.

Baadhi ya watendaji wa Shirika la Posta Tanzania wakimsikiliza mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (hayupo pichani) wakati akizungumza kabla ya kufungua mafunzo hayo rasmi.

Na Faraja Mpina, WUUM, Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano),Dkt. Zainabu Chaula amewaasa Meneja wakuu, Meneja wa mikoa yote na wakuu wa idara wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) kutumia nafasi zao, maarifa na utaalamu wao wote kuhakikisha wanalitendea haki Shirika la Posta Tanzania na utendaji wao uache alama.

Dkt. Chaula ameyazungumza hayo alipokuwa anafungua mafunzo ya siku tano ya uwajibikaji kwa kufuata sheria na taratibu za utumishi wa umma kwa meneja wakuu, wakuu wa idara na meneja wa mikoa yote wa TPC yaliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TBA, jijini Dodoma.

Ameongeza kuwa kila mtumishi anatakiwa ajiwekee malengo na kujitathimini kulingana na majukumu aliyokabidhiwa ambapo kufanikisha hili ni lazima kufanyakazi kwa kushirikiana, kusaidiana na kuwezesha na kwa nimashindanomaofisinihayajengi ,njiapekeeyamafanikionikuzifanyiakazichangamotokwakuzitafutiaufumbuzi.

“UkiwamtumishiwaSerikalihutakiwakuridhikanamafanikiokidogobalikufanyajuhudizaidikwakutumiataalumazetuhukutukijiulizatumefanyanininakwakiasiganiilitusiruhusuwadauwetukuonekananiwatendajikulikosisi, nilazimataasisizilizochiniyaSektayaMawasilianozioneshemchango wake katikakukusanyamapatoyaSerikali”, alizungumzaDkt. Chaula

NayePostamastaMkuu Hassan Mwang’ombeamesemakuwaShirika la Posta limeendeleakupanuawigowahudumazakeambapokwasasaShirikalimejiingizazaidikwenyebiasharayauwakalawahudumambalimbaliilimtejaakifikakwenyedirisha la postaawezekupatahudumanyinginemuhimukama vile huduma za kibenki, bimanaintanetikwakupitiatelecentreszinazojengwanaShirikahilo.

AkiongeleamafunzohayoMwang’ombeamesemakuwalengokubwanikukumbushananakuelekezanakatikakutimizamajukumunauwajibikajiiliShirikaliwezekupatamatokeochanya

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.