Habari za Punde

MAELFU KWA MAELFU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKIUNGURUMA MJINI CHATO MKOA WA GEITA LEO

Mgombea wa Urais Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimvisha kofia ya CCM msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kama Harmonize baada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa  Mazaina leo Jumatatu Septemba 14, 2020


Maelfu kwa maelfu ya wananchi wakiwa katika Uwanja wa Mazaina mjini Chato mkoani Geita kumsikiliza mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa kampeni leo Jumatatu Septemba 14, 2020

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.