Habari za Punde

Mgombea Urais wa CCM Dkt. John Magufuli Alakiwa Kwa Shangwe na Nderemo Mjini Bukoba.

Jinsi mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alivyopokelewa kwa shangwe na nderemo alipowasili mjini Bukoba Mkoa wa Kagera siku ya Jumanne Septemba 15, 2020 tayari tayari kwa mikutano yake ya kampeni mkoani humo
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.