Habari za Punde

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA NDANDA MASASI

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda alipowasili katia uwanja wa kijiji cha Mateko Ndanda Wilayani Masasi wa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 13,2020.   
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Ndanda Wilayani Masasi wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.