VIONGOZI Dini ya Kiislamu Kisiwani Pemba,
wakifuatilia kwa makini mkutano wa Ispekta Generali wa Polisi Tanzania Saimon
Nyankoro Sirro, uliowakutanisha viongozi wa dini na vyama vya siasa mikoa
miwili ya Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
VIONGOZI Dini kutoka madhehebu ya kikirisho Kisiwani
Pemba, wakifuatilia kwa makini mkutano wa Ispekta Generali wa Polisi Tanzania
Saimon Nyankoro Sirro, uliowakutanisha viongozi wa dini na vyama vya siasa
mikoa miwili ya Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
KAMISHNA wa Polisi Zanzibar Mohamed Haji,
akizungumza katika mkutano wa viongozi wa Dini, vyama vya siasa na kamati za
ulinzi na usalama Pemba, huko katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Chake Chake
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla,
akizungumza katika mkutano wa viongozi wa Dini, vyama vya siasa na kamati za
ulinzi na usalama Pemba, huko katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Chake Chake
Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
INSPEKTA Generali wa Polisi Tanzania Saimon Nyankoro
Sirro, akizungumza na viongozi wa Dini, vyama vya siasa na kamati za ulinzi na
usalama Pemba, mkutano uliofanyika katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Chake
Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,
PEMBA)
KATIBU Mkoa wa Chama cha ACT Wazalendo Salehe Nassor
Juma, akichangia katika mkutano wa IGP Sirro na viongozi wa Dini na vyama vya
siasa huko katika ukumbi wa Mkonyo Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
KIONGOZI wa kanisa la Anglican Dr Michael Hafidh, akizungumza juu ya suala la amani katika mkutano wa IGP Sirro na viongozi wa Dini
na vyama vya siasa huko katika ukumbi wa Mkonyo Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania Saimon Nyankoro
Sirro, akitoa nambari zake za simu kwa viongozi wa Dini, viongozi wa Vyama vya
siasa, mara baada ya kumalizika kwa mkutano na viongozi hao katika ukumbi wa
Makonyo Chake Chake.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment