Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Maafa Duniani Yafanyika Kisiwani Pemba

AFISA Mdhamini Wizara ya Elimu na Mafunzo yua Amali Pemba, Mohamed Nassor Salim, akifungua kongamano la Wanafunzi katika kuelekea Maadhimisho ya siku ya Maafa Duniani, kongamano lililofanyika katika ukumbi wa skuli ya Madungu Sekondari.

WANAFUNZI kutoka skuli ya Sekondari Madungu Mjini Chake Chake, wakifuatilia kwa makini kongamano la wanafunzi katika kuelekea maadhimisho ya siku ya Maafa Duniani.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.